Deuteronomy 28:13

13 a Bwana atakufanya kichwa, wala si mkia. Kama utazingatia maagizo ya Bwana Mwenyezi Mungu wako ninayokupa siku hii ya leo na kuyafuata kwa bidii, daima utakuwa juu, kamwe hutakuwa chini.
Copyright information for SwhKC